Lumen Radio ni Redio ya Kikristo inayotangaza Kupitia Masafa Ya Fm 91.7 Mhz toka Wilaya ya Karatu jijini Arusha Tanzania Ukanda Wa Bonde La Ufa Kwenye Jamii Ya Wahadzabe Wadatoga Waberbeig Wambulu Wamaasai Na Makabila Mchanganyiko Katika Ukanda Wa Bonde La ufa "Hii Ni Nuru ya Ulimwengu" Lumen Radio Ni Redio Ya Kikristo Isiyo Fungamana Na Dhehebu Lolote , Lengo la Redio Hii ni Kuhabarisha Kuburudisha Kuelimisha Na kuibadili Jamii Katika Mrengo Unaompendeza Yesu Kristo Show More »